MUDA AMBAZO MBEGU ZINAWEZA KUHIFADHIWA KATIKA SEHEMU KAVU YENYE UBARIDI BILA KUPOTEZA UWEZO WAKE WA KUOTA.

Related image
1.    Mbegu ya vitunguu hukaa mikaa 1-2
2.    Mbegu ya turnip hukaa mikaa 4
3.     Mbegu ya squash kukaa miaka 4
4.     Mbegu ya spinachi New zealand hii hukaa miaka 5
5.    Mbegu ya rosellle hii hukaa miaka 3
6.    Mbegu ya pili hukaa miaka 3
7.    Mbegu ya nyanya hukaa miaka 3
8.    Mbegu ya parsley hukaa miaka 2
9.    Mbegu ya njegere hukaa miaka 3
10. Muskemelon hukaa miaka 5
11.  Matikiti maji 5
12. Matango hukaa miaka 4
13. Mbegu ya maboga hukaa miaka 3
14. Mbegu ya mahatagwe hukaa miaka 3
15. Mbegu ya lettuce hukaa miaka 5
16. Mbegu ya leek hukaa miaka 3
17. Mbegu ya karoti hukaa mika 3
18. Kauli fulawa hukaa miaka 4
19. Mbengu ya kale hukaa miaka hukaa miaka 4
20. Mbegu ya rape hukaa miaka 4
21.  Mbegu ya Chinese kabichi hukaa miaka 5
22. Mbegu ya chard swiss hukaa miaka 4
23. Mbegu ya celery hukaa miaka 4.
24. Mbegu ya Brussels sprouts hukaa miaka 4
25. Broccoli hukaa miaka 4
26. Mbegu ya bilinganya hukaa miaka 4
27. Mbegu ya beet hukaa miaka 4
28. Mbegu ya bamia hukaa miaka1-2
29. Mbegu asparagus.

Asante sana kuwa paomaja endele kutembelea blog ya kilimo bora kila wakati.
MUDA AMBAZO MBEGU ZINAWEZA KUHIFADHIWA KATIKA SEHEMU KAVU YENYE UBARIDI BILA KUPOTEZA UWEZO WAKE WA KUOTA. MUDA AMBAZO MBEGU ZINAWEZA KUHIFADHIWA KATIKA SEHEMU KAVU YENYE UBARIDI BILA KUPOTEZA  UWEZO WAKE WA KUOTA. Reviewed by BENSON on January 01, 2018 Rating: 5

No comments