FAHAMU KUHUSU CHAKULA KWA AJILI YA KULOIREL
Kuloirel ni kuku chotara ambaye asili
yake ni nchini india, na imetokana na mchanganyiko wa dume la broiler na
jike aina ya Rhode island red au dume la white legham na jike la Rhode island
red. Kuku hawa ni moja kati ya kuku wasio na gharama kubwa katika kuwafuga
lakini pia wana faida kubwa pindi ukiamua kuwafuga. Lakini pia kuku hawa ni moja kati ya mbegu ambayo inafanya vizuri sana katika nchi nyingi.
Lakini pia ni vyema kila wakati ukazingatia usafi ni muhimu hivyo ni vyema
kuzingatia hilo
chakula kwa kuku kuloirel ni lazima kiwe kama ifuatavyo;
Chakula ni lazima kiwe bora ili kupata kuku bora pamoja na mayai ya kutosha.
1. Kuku jike mmoja anakadiliwa kula kilo 5-8 kabla ya kuanza
kutaga.
2. Muhimu sana kwa mfugaji kujifunza jinsi ya kuchanganya
chakula mwenyewe.
3. Kuanzia siku 1 hadi wiki 4 unatakiwa kuwapa chakula cha
kuanzia (chick starter mash)
4. Kuanzia wiki ya 4 hadi 8 unawapa chakula cha kukuzia (chick
grower mash)
5. Kuanzia wiki ya kwanza kuanza kutaga hadi mwisho unatakiwa
kuwapa chakula(layersmash)
6. Lakini pia inakadiliwa kua na drinker 15 na vyombo vya kulia
chakula, wastani wa kuku 1000.
ENDELEA KUTEMBEA BLOG YA KILIMO BORA KILA WAKATI
FAHAMU KUHUSU CHAKULA KWA AJILI YA KULOIREL
Reviewed by BENSON
on
January 09, 2018
Rating:
No comments