KILIMO BORA CHA ILIKI/SPICE
Iliki ni moja kati ya
mazao ambayo yanatumika sana karibia kila siku kwenye matumizi ya
nyumbani,utumika kama viungo kwenye chakula na pia utumika kama tiba ya
magonjwa mbalimbali.na pia ni mmea mfupi ambao unatoa matunda kwa miaka mingi.
AINA ZA ILIKI
Kuna aina mbili za iliki ambazo ni
AINA ZA ILIKI
Kuna aina mbili za iliki ambazo ni
·
malabar-huzaa kwa kutambaa ardhini na
matunda yake ni madogo madogo.urefu wa mmea wa malabar ni karibia mita 3
·
mysore-matunda yake huzaliwa kwa wima,majani mapana na mmea una urefu zaidi ya
mita3
MAZINGIRA NA HALI YA HEWA
·
Huoteshwa kwenye maeneo yenye mvua
2500mm kwa mwaka
·
kivuli cha wastani
·
udongo wenye rutuba ya kutosha na
ulio na unyevunyevu wa kutosha
KUPANDA
kunanjia mbili za kuotesha iliki unaweza kupanda mbegu au ukapanda miche midogo(spilits)
kunanjia mbili za kuotesha iliki unaweza kupanda mbegu au ukapanda miche midogo(spilits)
·
sia mbegu kwenye kitalu pandikiza
mche shambani zikiwa na umri wa miezi 3-4 au zaidi zenye ukubwa wa sm 15 au zaidi au tenganisha vimiche
vinavyo zaliwa kwenye tunguu moja chini ya ardhi na pandikiza shambani.
·
tengeneza mashimo sm 60 x 60 na
nafasi ya shimo panda miche kwenye mashimo.
KUTUNZA
·
Weka matandazo
·
ondoa mashina ya zamani na yalio
nyauka
·
rekebisha kivuli
WADUDU NA MAGONJWA
Zuia wadudu waalibifu na magonjwa ili kupata mavuno mengi nayenye ubora
Zuia wadudu waalibifu na magonjwa ili kupata mavuno mengi nayenye ubora
·
kuoza kwa
majani-dhibiti kwa kupiga dawa zenye
morututu k.m dithane m-45
·
virus(mosaic
virus)- dhibiti kwa kutumia aina inayo
vumilia
·
inzi mafuta zuia kwa kutumia dawa za
kuuwa wadudu insecticides
KUVUNA
·
Huchukua miaka 3 tangia kupandwa
mpaka kuzaa na kuvuna pale unapopanda miche midogo
·
ukipanda mbegu huchukua miaka 4-5
mpaka kuvuna
·
matunda huvunwa hasa mwezi march na
april
·
matundwa huvunwa na kukaushwa kwenye
jua
na kipanda
kunauwezekana wa kuvuna 112-300 kwa heka na 45-120kg kwa eka ikiwa
imekaushwa
MATUMIZI
MATUMIZI
·
Kiungo kwenye chakula
·
mchanganyiko kwenye madawa,mafuta na
vipodozi
·
kutengeneza vinywaji
hivo ni vitu muhimu ambavyo unatakiwa kujua wewe kama mkulimwa wa iliki au mtu unataka kuanza kulima iliki. natumaini umejifunza kitu kutoka kwa hayo maelezo machache ambayo nimekupa hivo usisite kuwasilian na mimi pale unapo itaji msada zaidi
KILIMO BORA CHA ILIKI/SPICE
Reviewed by BENSON
on
December 18, 2017
Rating:
No comments