JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU.
Hili ni somo mahususi kwa ajili ya
wafugaji wote wa kuku, au kwa wale wote ambao wanapenda kufuga kuku. Kwani
mfumo huu ni mzuri na humsaidia mfugaji kuweza kutengeza chakula ambacho kina
virubishio vyote ambavyo ni muhimu kwa kuku.
JINSI KUANDAA CHAKULA CHA KUKU KUANZIA WIKI LA 1- HADI WIKI LA
8.
Mahitaji.
1.
Pumba 60kg
2.
Mahind ya kuparaza 10kg
3.
Mashudu alizeti 10kg
4.
Dagaaa 15kg
5.
unga wa mifupa 5kg
6.
Chumvi ½
7.
premix ¼
Mara baada ya kuanda mahitaji hayo
changanya vyote ili kupata mchnganyiko wa chakula.
CHAKULA CHA KUKU, KUANZIA WIKI LA NANE NA KUENDELEA.
Mahitaji
1. Pumba ya mahindi yenye chenga- kg
38
2. Mashudu ya alizeti- kg 7.5
3. Mabaki ya dagaa - kg 1.5
4. Chokaa ya kuku - kg 0. 5
5. Unga wa mifupa - kg 0.5
6. Lusina - kg 2
7. Chumvi - kg 0.25
Mara baada ya kuanda mahitaji hayo
changanya vyote ili kupata mchnganyiko wa chakula.
JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU.
Reviewed by BENSON
on
December 17, 2017
Rating:
No comments