FAHAMU KUHUSU CHAKULA KWA AJILI YA KULOIREL

Image result for kuroiler chicken

Kuloirel ni kuku chotara ambaye asili yake ni nchini india, na imetokana na mchanganyiko wa  dume la broiler na jike aina ya Rhode island red au dume la white legham na jike la Rhode island red. Kuku hawa ni moja kati ya kuku wasio na gharama kubwa katika kuwafuga lakini pia wana faida kubwa pindi ukiamua kuwafuga. Lakini pia kuku hawa ni moja kati ya mbegu ambayo inafanya vizuri sana katika nchi nyingi.


Lakini pia ni vyema kila wakati ukazingatia usafi ni muhimu hivyo ni vyema kuzingatia hilo
 
chakula kwa kuku kuloirel ni lazima kiwe kama ifuatavyo;

Chakula ni lazima kiwe bora ili kupata kuku bora pamoja na mayai ya kutosha.


1.     Kuku jike mmoja anakadiliwa kula kilo 5-8 kabla ya kuanza kutaga.

2.     Muhimu sana kwa mfugaji kujifunza jinsi ya kuchanganya chakula mwenyewe.


3.     Kuanzia siku 1 hadi wiki 4 unatakiwa kuwapa chakula cha kuanzia (chick starter mash)

4.     Kuanzia wiki ya 4 hadi 8 unawapa chakula cha kukuzia (chick grower mash)


5.     Kuanzia wiki ya kwanza kuanza kutaga hadi mwisho unatakiwa kuwapa chakula(layersmash)

6.     Lakini pia inakadiliwa kua na drinker 15 na vyombo vya kulia chakula, wastani wa kuku 1000.

ENDELEA KUTEMBEA BLOG YA KILIMO BORA KILA WAKATI


FAHAMU KUHUSU CHAKULA KWA AJILI YA KULOIREL FAHAMU KUHUSU CHAKULA KWA AJILI  YA KULOIREL Reviewed by BENSON on January 09, 2018 Rating: 5

No comments