HIZI NDIZO FAIDA ZA VITUNGUU SWAUMU KATIKA UFUGAJI WA KUKU

VITUNGUU SAUMU KAMA DAWA KWA KUKU

VITUNGUU SAUMU
KITUNGUU SAUMU

 



Zipo dawa tofauti za asili zinazopatikana kirahisi kwenye mazingira ya vijijini ambazo zina uwezo wa kutibu magonjwa ya kuku. Katika mada hii taelezea baadhi ya dawa hizo.
Dawa ya kutibu Homa ya Matumbo "Fowl Typhoid" ni Kitunguu swaumu
Kuandaa
•Chukua robo kilo ya vitunguu swaumu
•toa maganda.
•Kisha twanga
•changanya na maji kiasi cha lita moja
•chuja na kuwapa maji yake kwa muda wa juma moja.
HIZI NDIZO FAIDA ZA VITUNGUU SWAUMU KATIKA UFUGAJI WA KUKU HIZI NDIZO FAIDA ZA VITUNGUU SWAUMU KATIKA UFUGAJI WA KUKU Reviewed by BENSON on April 14, 2018 Rating: 5

No comments