ZIFAHAMU AINA ZA GREENHOUSE
Aina za Greenhouse.
Greenhouse zinagawanyika makundi mbalimbali kutegemeana na vigezo vifuatavyo:
Aina za Greenhouse kwa kigezo cha sura/umbile (shape)
Zipo aina aina 8 za greenhouse, hapa nitataja chache tu kwa majina yake ya kitaalamu
- Quonset Greenhouse
- Saw tooth type
- Even span type greenhouse
- Uneven span type greenhouse
Aina za Greenhouse kwa kigezo cha Matumizi
- Green house zinazoongeza joto (Hizi ni kwa maeneo ya baridi)
- Greenhouse zinazopunguza joto (hizi ni kwa maeneo ya joto)
Aina za greenhouse kwa kigezo cha matengenezo yake (construction)
- Greenhouse za miti (Wooden framed structure)
- Pipe framed structure (Greenhouse zinazotumia mabomba)
- Truss/Aluminium framed structure ( Geenhouse zinazojengwa kwa vyuma)
Aina za Greenhouse kwa kigezo cha aina ya zana za ufunikaji (covering types)
- Greenhouse zinazofunikwa kwa zana za Vioo (Glass Greenhouse or Screenhouse) )- hizi zinatumika sana maeneo ya baridi kali, ili kutunza joto kwa muda mrefu ndani greenhouse
- Greenhouse zinazofunikwa kwa mifuko ya plaski (plastic film)
Aina ya Greenhouse kwa kigezo cha uwekezaji unaofanywa:
- Greenhouse za gharama kubwa (High cost greenhouse) ( Zaidi ya milioni 50)
- Greenhouse za gharama za kati (medium cost greenhouse) (milioni 20 hadi 50)
- Greenhouse za gharama ndogo (Low cost greenhouse) (chini ya milioni 20)
- Greenhouse za gharama ndogo ndio watu wengi wanazitumia sana katika nchi zinazoendelea.
ZIFAHAMU AINA ZA GREENHOUSE
Reviewed by BENSON
on
May 25, 2018
Rating:
No comments