MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUFANYA UFUGAJI WA KUKU WENYE FAIDA.


Baada ya kuwa mfugaji amefuata taratibu zote katika ufugaji wake wa kuku kwa lengo la kupata faida, ili mfugaji huyo apate faida zaidi kuna mambo muhimu ya kuzingatia hususanI katika kujenga soko lake kama ifuatavyo:- 


1. Lenga soko wakati wa  sikukuu za mwisho wa mwaka na zinginezo ambapo kuku huuzwa zaidi.
2. Tafuta masoko ili ujenge jina kwa wanunuzi wakubwa.
3. Jiunge au shirikiana na wenzako kuunda kikundi cha wafugaji (wafuga kuku) ili muweze

  • Kuchanja pamoja kupunguza gharama (kwa wafugaji wadogo)
  • Kutafuta masoko pamoja
  • Kupasiana wateja kama hauna kuku wakati huo

4. Kuweza kujitambulisha katika masoko kwamba Kijiji au kikundi chenu kuku wanapatikana muda wote
MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUFANYA UFUGAJI WA KUKU WENYE FAIDA. MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUFANYA UFUGAJI WA KUKU WENYE FAIDA. Reviewed by BENSON on September 26, 2017 Rating: 5

No comments