KANUNI SAHAHI YA ULEAJI WA VIFARANGA VYA KUKU


Related image
Habari za wakati huu ndugu wasomaji na wafuatiliaji wa blog yetu,leo tutaangalia namna ya kulea vifaranga.
Zifutazo ni hatua mbali mbali za maandalizi na mapokezi ya vifaranga.


1.MAANDALIZI YA BANDA
Banda ni jambo la kwanza kwa mfugaji yoyote.banda la kuku huweza kujengwa kwa matofali,mbao,au hata miti na matope.
mfano wa banda la matofali lenye dirisha kubwa.
Banda la kuku linatakiwa liwe safi wakati wote.


Image result for banda la kuku


1.Sifa za banda la kuku

  1. Lipitishe mwanga wa kutosha
  2. Lisiwe na nafasi ya wadudu hatari na hata wanyama kupita
  3. Liwe karibu na makazi ya mfugaji
  4. Sakafu yake isiwe na matobo tobo mengi(iwe imesakafiwa vizuri kwa njia tofauti)
  5. Banda liwe na ukubwa wa kutosha sawa na idadi ya vifaranga.(mita 2 kwa 3)
  6. Ndani ya banda kuwepo mabox madogo madogo kwaajili ya kuwekea vifaranga.mabox hutunza joto na chini ya mabox hayo au vitalu kuwepo na pumba za mahindi au mpunga ili kuongeza joto.






2.Andaa vyombo
vyombo kwaajili ya maji na chakula.unaweza kununua vyombo ua ukatumia sahani  za kawaida za nyumbani.kwa maji weka mawe madogo madogo  masafi katika vyombo hivyo ili vifaranga wasitawanye sana maji au wao kuloana na maji hayo.
mfano wa vyombo katika picha



Related image


3.Andaa taa ya chemli au bulb
Taa hutumika kwaajili ya kuongeza joto katika box au kitalu cha vifaranga.taa huwekwa ndani ya box hilo.Kwa wafugaji wakubwa hutumia bulb katika mabanda yao.joto katika vifaranga liongezwe wakati wa usiku na mchana liwe la kawaida.






4.Fahamu ratiba na chanjo kwa vifaranga kama ifatavyo.


  • siku 1-5 --dawa ya kufunga vitovu-
  • siku 7 --NEWCASTLE
  • siku 8, 9,10,11--VITAMIN 
  • siku 14--Gomboro
  • Siku ya 15-20-VITAMIN
  • siku 21--gomboro Baada ya hapo endelea na vitamin hadi siku ya 27
  •  Siku ya 28-NEWCASTLE Kisha endelea na vitamin
  • wiki ya 5 chanjo ya ndui
  • wiki ya 6--Ampronium + ctc (siku tano)
  • wiki ya 7--Vitamin
  • wiki ya 8--dawa ya minyoo




ANGALIZO.EPUKA UCHAFU KATIKA BANDA ILI KUEPUSHA MAGONJWA KATIKA BANDA AMBAYO HUPELEKEA KUKU KUUMWA HIVYO KUTAFTIWA DAWA NYINGI ZAIDI NA KUPELEKEA KUONGEZEKA KWA GHARAMA ZA UFUGAJI.


5.CHAKULA


chakula cha kuku kiwe na mchanganyiko ufuatao.


  1. nafaka(mahindi,uwele,mtama,ulezi nk)-------kg 40
  2. pumba za nafaka_----------------------kg 27
  3. chumvi ya jikoni--------------kg 0.5
  4. virutubisho----------------------kg 0.05
  5. unga wa chokaa na mifupa-----kg 2.25
  6. mashudu ya alizeti ufuta au karanga --kg 20
  7. dagaa na mabaki ya samaki---kg 10




6.ANDAA KUMBU KUMBU MUHIMU IWE NA;



  1. Tarehe ya kutotoresha
  2. Idadi ya vifaranga
  3. Kiasi cha chakula
  4. vifo
  5. Vifaranga vilivyo uzwa
  6. Tarehe ya siku ya kurekodi
  • matibabu
  • ugonjwa
  • mfano wa ratiba hiyo
KANUNI SAHAHI YA ULEAJI WA VIFARANGA VYA KUKU KANUNI SAHAHI YA ULEAJI WA VIFARANGA VYA KUKU Reviewed by BENSON on June 23, 2018 Rating: 5

6 comments

  1. Naitaji mawasiliano yenu plz naitaji kuanza kufuga Kuku

    ReplyDelete
  2. Kazi nzuri hiyo
    Jifunze zaidi hapa
    https://www.poultry1.com/2022/12/utambuzi-wa-magonjwa-ya-kuku.html

    ReplyDelete
  3. Inafurahisha moyo wangu kuwa hapa kumshukuru Dkt. DAWN.

    Sikuwahi kufikiria ningeweza kuona ndoa yangu ikifanikiwa tena licha ya kila kitu ambacho tayari kilikuwa kikienda kinyume nami. Dkt. DAWN alinisaidia. Nilikuwa na tatizo nyumbani, ambalo lilisababisha mume wangu kuondoka, na tayari nilikuwa mjamzito na ikawa vigumu kwangu kukabiliana bila yeye. Familia yake iliniunga mkono wakati wote, lakini hakuna mtu aliyeweza kunisaidia kurudiana isipokuwa Dkt. DAWN, ambaye aliingilia kati nilipohitaji msaada zaidi. Alitatua tatizo hilo na mume wangu akarudi nyumbani kwangu baada ya saa 48 tu, kwa sababu bado aliishi katika mji mmoja na mimi. Inashangaza unapopata msaada ambapo hukufikiria kama unaweza kuupata. Kwa mara nyingine tena, asante, Dkt. Dawn, kwa yote unayofanya kuwasaidia watu wanaohitaji msaada wa dharura. Mtumie barua pepe kwa: ( dawnacuna314@gmail.com )
    au umtumie ujumbe wa WhatsApp: +2349046229159

    ReplyDelete
  4. Nilipogundulika kuwa na saratani ya hatua ya 4, nilihisi kukata tamaa kabisa. Madaktari waliniandaa kwa ajili ya hali mbaya zaidi, na nilizidiwa na hofu na kutokuwa na uhakika. Wakati huo mgumu, nilitoa ushuhuda tofauti wa watu, jinsi walivyoponywa kupitia dawa ya mitishamba ya Dr Dawn, na kuwasiliana naye kupitia WhatsApp yake: ( +2349046229159 )

    Aliniahidi kwamba nitakuwa mzima tena ndani ya mwezi 1 baada ya kumuelezea kila kitu, niliagiza dawa ya mitishamba na kufuata maagizo. Leo, ninashukuru sana kwa mahali nilipo. Mungu atukuzwe kwa kunipa nguvu, mwongozo, na uponyaji. Niko huru kabisa na imethibitishwa kimatibabu. Hata mfanyakazi mwenzangu pia aliponywa kupitia dawa ya mitishamba ya Dr DAWN.

    Ikiwa wewe au mtu unayemjua anakabiliwa na ugonjwa mbaya, tafadhali wasiliana na Dr Dawn. Na usipoteze tumaini. Kwa sababu hakika atakuponya

    WhatsApp yake: +2349046229159
    Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com

    ReplyDelete