NAMNA YA KUZUI KUKU ANAYEDONOA MAYAI YAKE.

Kuku wengi wamekuwa na tabia za kudonoa mayai ambayo wameyataga wenyewe au ambayo yametagwa na kuku wengine, hivyo pindi uonapo tabia hii katika kuku wako unatakiwa kufanya yafutayo ili kukomesha tabia hii:
                 

         1. Kuweka idadi ya kuku inayolingana na sehem ulionayo.
  1. Usizidishe mwanga.
  2. Banda liwe safi.
  3. Weka vyombo vya kutosha.
  4. Wape lishe bora.
  5. Wape kuku shughuli kwa kuwawekea bembea na sehem ya uwazi kwa ajili ya mazoezi.
  6. Kata midomo ya juu.
  7. Epuka ukoo wenye tabia hizo.

NAMNA YA KUZUI KUKU ANAYEDONOA MAYAI YAKE. NAMNA YA KUZUI KUKU ANAYEDONOA MAYAI YAKE. Reviewed by BENSON on July 23, 2017 Rating: 5

No comments