UFAHAMU UGONJWA WA KUKU WA KUVIMBA MACHO

Image result for kuvimba macho kwa kuku
Chanzo cha maambukizi

•Maji na chakula kilichochafuliwa na kinyesi cha kuku wagonjwa na kwenye vimelea
•Kupitia mfumo wa hewa kutoka kuku wagonjwa
•Kupitia mayai, hivyo maambukizi huendelea kutoka kizazi hadi kizazi

Dalili

•Kuku kukoroma
•Kuku hutoa makamasi
•Kuku wanakohoa kwa muda mrefu, wiki hadi mwezi
•Kuvimba macho
•Kutingisha kichwa
•Vivo vya kuku viaweza kufikia hadi asilimia 20
Uchunguzi

Kamasi nzito zenye usaha zilizotapakaa kwenye pia, koromeo, mapafu na vifuko vya hewa

Tiba
Madawa aina ya sulfa na antibiotiki 
UFAHAMU UGONJWA WA KUKU WA KUVIMBA MACHO UFAHAMU UGONJWA WA KUKU WA KUVIMBA MACHO Reviewed by BENSON on May 17, 2018 Rating: 5

No comments