IJUE MBEGU BORA WA KUKU AINA YA KUROILER

Image result for ufugaji bora

Kuroiler ni aina ya kuku asili ya India.(common sana nchini India). Kuku hawa walianza mnamo mwaka 1990 ni kuku mchanganyiko wa

1. Broliler male + Female Rhode island red
2. White leghorm male + Female Rhode island 

Ni mbegu bora sana inayojulikana kwa uvumulivu wa kustahimili mazingira yoyote hata yale magumu. Wanahimili magonjwa na unaweza wafuga kienyeji na kukupa matokeo mazuri sana. Hawaambukizwi magojwa kirahisi.Hutaga akiwa na miezi 5. Jogoo anaweza kufikia kilo 5 akiwa na miezi 5 na mtetea 3.5. Wanasifa ya kutaga mayai kwa wingi wastani wa mayai 250 - 300 kwa mwaka.Mayai yao yanakiini cha njano kama wa kienyeji.
IJUE MBEGU BORA WA KUKU AINA YA KUROILER IJUE  MBEGU BORA WA KUKU AINA YA KUROILER Reviewed by BENSON on May 15, 2018 Rating: 5

No comments