JINSI YA KUANDAA CHAKULA CHA KUKU
Somo hili ni mahususi kwa ajili ya
wafugaji wote wa kuku, au kwa wale wote ambao wanapenda kufuga kuku. Kwani mfumo
huu ni mzuri na humsaidia mfugaji kuweza kutengeza chakula ambacho kina
virubishio vyote ambavyo ni muhimu kwa kuku.
JINSI KUANDAA CHAKULA CHA KUKU KUANZIA WIKI LA 1- HADI WIKI LA
8.
Mahitaji.
1.
Pumba 60kg
2.
Mahind ya kuparaza 10kg
3.
Mashudu alizeti 10kg
4.
Dagaaa 15kg
5.
unga wa mifupa 5kg
6.
Chumvi ½
7.
premix ¼
Mara baada ya kuanda mahitaji hayo changanya vyote ili
kupata mchnganyiko wa chakula.
CHAKULA CHA KUKU, KUANZIA WIKI LA
NANE NA KUENDELEA.
Mahitaji
1. Pumba ya mahindi yenye chenga- kg 38
2. Mashudu ya alizeti- kg 7.5
3. Mabaki ya dagaa - kg 1.5
4. Chokaa ya kuku - kg 0. 5
5. Unga wa mifupa - kg 0.5
6. Lusina - kg 2
7. Chumvi - kg 0.25
Mara baada ya kuanda mahitaji hayo
changanya vyote ili kupata mchnganyiko wa chakula.
JINSI YA KUANDAA CHAKULA CHA KUKU
Reviewed by BENSON
on
July 31, 2017
Rating:
No comments