FAHAMU KUHUSU MBUZI BORA WA NYAMA- BOER GOAT
ASILI
Kiasili ni mbuzi wa Afrika ya kusini ingawa ndani yake kuna damu toka baraUlaya na India, hii ndio Mbegu kubwa Zaidi ya mbuzi wa nyama ukilinganisha na wengine. Pia wanazalisha kiwango kikubwa cha maziwa ingawa wanafaa Zaidi kwa nyama.
RANGI
Wana mwili wenye rangi nyeupa na kichwani wana rangi nyekundu au hudhurungi (brown) ingawa wapo weupe kabisa au wekundu/hudhurungi kabisa na hii hutokea kwa 0.001%
UMBO
Wana umbo kubwa kufikia kilo 110-135kwa madume
Kilo 90-100 kwa majike
Wana masikio yaliyolala kama mbuzi wa kinubi (Nubians)
UZAZI
Huwa wanazaa mapacha na huweza kuzaa mara 2 kwa mwaka
Majike ni wazazi na walezi wazuri wa watoto sababu wana maziwa ya kutosha
Watoto hukua haraka sana, na nia aina ya mbuzi ambao sio wakorofi (docile)
Kwenye baridi kali au joto kali huwa inawaathiri kwenye kubeba mimba
PATA VICHEKESHO KUPIA SIMU YAKO SASA. BOFYA HAPA
PATA VICHEKESHO KUPIA SIMU YAKO SASA. BOFYA HAPA
FAHAMU KUHUSU MBUZI BORA WA NYAMA- BOER GOAT
Reviewed by BENSON
on
June 27, 2018
Rating:
Inafurahisha moyo wangu kuwa hapa kumshukuru Dkt. DAWN.
ReplyDeleteSikuwahi kufikiria ningeweza kuona ndoa yangu ikifanikiwa tena licha ya kila kitu ambacho tayari kilikuwa kikienda kinyume nami. Dkt. DAWN alinisaidia. Nilikuwa na tatizo nyumbani, ambalo lilisababisha mume wangu kuondoka, na tayari nilikuwa mjamzito na ikawa vigumu kwangu kukabiliana bila yeye. Familia yake iliniunga mkono wakati wote, lakini hakuna mtu aliyeweza kunisaidia kurudiana isipokuwa Dkt. DAWN, ambaye aliingilia kati nilipohitaji msaada zaidi. Alitatua tatizo hilo na mume wangu akarudi nyumbani kwangu baada ya saa 48 tu, kwa sababu bado aliishi katika mji mmoja na mimi. Inashangaza unapopata msaada ambapo hukufikiria kama unaweza kuupata. Kwa mara nyingine tena, asante, Dkt. Dawn, kwa yote unayofanya kuwasaidia watu wanaohitaji msaada wa dharura. Mtumie barua pepe kwa: ( dawnacuna314@gmail.com )
au umtumie ujumbe wa WhatsApp: +2349046229159
Nilipogundulika kuwa na saratani ya hatua ya 4, nilihisi kukata tamaa kabisa. Madaktari waliniandaa kwa ajili ya hali mbaya zaidi, na nilizidiwa na hofu na kutokuwa na uhakika. Wakati huo mgumu, nilitoa ushuhuda tofauti wa watu, jinsi walivyoponywa kupitia dawa ya mitishamba ya Dr Dawn, na kuwasiliana naye kupitia WhatsApp yake: ( +2349046229159 )
ReplyDeleteAliniahidi kwamba nitakuwa mzima tena ndani ya mwezi 1 baada ya kumuelezea kila kitu, niliagiza dawa ya mitishamba na kufuata maagizo. Leo, ninashukuru sana kwa mahali nilipo. Mungu atukuzwe kwa kunipa nguvu, mwongozo, na uponyaji. Niko huru kabisa na imethibitishwa kimatibabu. Hata mfanyakazi mwenzangu pia aliponywa kupitia dawa ya mitishamba ya Dr DAWN.
Ikiwa wewe au mtu unayemjua anakabiliwa na ugonjwa mbaya, tafadhali wasiliana na Dr Dawn. Na usipoteze tumaini. Kwa sababu hakika atakuponya
WhatsApp yake: +2349046229159
Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com