KILIMO BORA

Wednesday, 27 June 2018

FAHAMU KUHUSU MBUZI BORA WA NYAMA- BOER GOAT

›
ASILI Kiasili ni mbuzi wa Afrika ya kusini ingawa ndani yake kuna damu toka bara Ulaya na India , hii ndio...
Tuesday, 26 June 2018

ZIFAHAMU AINA NNE ZA MTAMA

›
Mtama ni kundi la mbegu punje ndogo katika jamii ya nafaka ambayo ina kiasi kikubwa cha kabohaidreti.Ni zao lenye uwezo mkubwa wa kuvumil...
1 comment:
Monday, 25 June 2018

KANUNI ZA UFUGAJI WA KULOIREL

›
Kuloirel ni kuku chotara ambaye asili yake ni nchini india, na imetokana na mchanganyiko wa  dume la broiler na jike aina ya Rhode island...
1 comment:
Sunday, 24 June 2018

NUFAIKA KWA KILIMO BORA CHADENGU

›
Dengu ni nafaka kama zilivyo nafaka zingine, ni zao la jamii ya mikunde pia ni zao la biashara, ni miogoni Mwa zao muhimu sana la biashar...
Saturday, 23 June 2018

KANUNI SAHAHI YA ULEAJI WA VIFARANGA VYA KUKU

›
Habari za wakati huu ndugu wasomaji na wafuatiliaji wa blog yetu,leo tutaangalia namna ya kulea vifaranga. Zifutazo ni hatua mbali mb...
4 comments:
Friday, 22 June 2018

MFAHAMU KUKU AINA YA KUCHI

›
Ni kuku warefu kwa umbo na wenye kusimama mgongo ukiwa wima. Wana manyoya machache mwilinini na hasa kifuani, vilemba vyao ni vidogo. Ma...
5 comments:
Thursday, 21 June 2018

MFAHAMU MDUDU HUYU MWARIBIFU WA MAHARAGE KWA UNDANI ZAIDI

›
Funza wa vitumba ni nondo, na ni mdudu mharibifu maarufu wa kunde na maharage mengine kote Afrika Mashariki na Magharibi. Viwavi hula v...
Wednesday, 20 June 2018

NUFAIKA KWA KILIMO BORA CHA SPINACHI

›
Spinachi ni moja kati ya mazao ya mbogamboga inayo limwa sana nchini Tanzania na asili yake ni china na ndo maaana huwa tun...
›
Home
View web version
Powered by Blogger.