Friday, 22 June 2018

MFAHAMU KUKU AINA YA KUCHI


Ni kuku warefu kwa umbo na wenye kusimama mgongo ukiwa wima. Wana manyoya machache mwilinini na hasa kifuani, vilemba vyao ni vidogo. Majogoo huwa na wastani wa uzito wa Kg. 2.5 na mitetea kg 1.5 mayai ya kuchi yana uzito wa wastani wa gm 45. Ni moja ya jogoo mzuri sana

5 comments:

  1. naomkba namba zenu tuma kwa emkessy@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. Nakiitaji mayai yake naweza kuyapata vipi mtabizi.fm@gmail.com

    ReplyDelete
  3. Nisaidieni mawasiliano yenu nahitaji vifaranga vyake:yothamaron4@gmail.com,0762901718

    ReplyDelete
  4. Wanafaida gani hawa kuku kama naamua kufuga

    ReplyDelete
  5. Mataka kufuga kuchi kibiashara naomba maelekezo yenu tafadhali to

    ReplyDelete