FAIDA YA VITUNGUU SAUMU KATIKA UFUGAJI WA KUKU.



VITUNGUU SAUMU
KITUNGUU SAUMU

 


Zipo dawa tofauti za asili zinazopatikana kirahisi kwenye mazingira ya vijijini ambazo zina uwezo wa kutibu magonjwa ya kuku. Katika mada hii taelezea baadhi ya dawa hizo.
Dawa ya kutibu Homa ya Matumbo "Fowl Typhoid" ni Kitunguu swaumu
Kuandaa
•Chukua robo kilo ya vitunguu swaumu
•toa maganda.
•Kisha twanga
•changanya na maji kiasi cha lita moja
•chuja na kuwapa maji yake kwa muda wa juma moja.
FAIDA YA VITUNGUU SAUMU KATIKA UFUGAJI WA KUKU. FAIDA YA VITUNGUU SAUMU KATIKA UFUGAJI WA KUKU. Reviewed by BENSON on March 17, 2018 Rating: 5

No comments