
1.
Mbegu ya vitunguu hukaa mikaa 1-2
2.
Mbegu ya turnip hukaa mikaa 4
3.
Mbegu ya squash kukaa miaka 4
4.
Mbegu ya spinachi New zealand hii hukaa miaka
5
5.
Mbegu ya rosellle hii hukaa miaka 3
6.
Mbegu ya pili hukaa miaka 3
7.
Mbegu ya nyanya hukaa miaka 3
8.
Mbegu ya parsley hukaa miaka 2
9.
Mbegu ya njegere hukaa miaka 3
10. Muskemelon
hukaa miaka 5
11. Matikiti maji 5
12. Matango
hukaa miaka 4
13. Mbegu
ya maboga hukaa miaka 3
14. Mbegu
ya mahatagwe hukaa miaka 3
15. Mbegu
ya lettuce hukaa miaka 5
16. Mbegu
ya leek hukaa miaka 3
17. Mbegu
ya karoti hukaa mika 3
18. Kauli
fulawa hukaa miaka 4
19. Mbengu
ya kale hukaa miaka hukaa miaka 4
20. Mbegu
ya rape hukaa miaka 4
21. Mbegu ya Chinese kabichi hukaa miaka 5
22. Mbegu
ya chard swiss hukaa miaka 4
23. Mbegu
ya celery hukaa miaka 4.
24. Mbegu
ya Brussels sprouts hukaa miaka 4
25. Broccoli
hukaa miaka 4
26. Mbegu
ya bilinganya hukaa miaka 4
27. Mbegu
ya beet hukaa miaka 4
28. Mbegu
ya bamia hukaa miaka1-2
29. Mbegu
asparagus.
Asante sana kuwa paomaja endele kutembelea blog
ya kilimo bora kila wakati.
No comments:
Post a Comment